Ujumbe wa aliyejiua kisa penzi la Monica (mke wa Masanja). Chunguzeni wake zenu

Ujumbe wa aliyejiua kisa penzi la Monica (mke wa Masanja). Chunguzeni wake zenu

Hamna kitu hapo wali boko, njegere mbichi, nyanya mbichi hakuna hata nazi. Mke hawezi pika hivyo labda kama ni wale .com mnao okota okota.
 
Dah qmmk unapika hadi njegere? Mi ghetto nikipika ni chai, mayai, nikijitahidi sana wali, hafu vyombo sioshi naloweka week hafu naweka kwenye friji, hafu naloweka hafu namwaga maji.

Kuna jamaa nilimtembelea ghetto ana hadi kibao cha kukuna nazi na kukanda chapati. Hadi flampen za vitumbua anazo. Yule mwamba nuksi.
😂😂😂
 
Masanja Simpendagi tu..na sina sababu yoyote ila kwa hili kwa kweli anapita kwenye hard time..halafu tucheki scenarios mbili...
1.inawezekana masanja aligundua huu uhusiano akaupiga pini
2.Na baada ya kuupiga pini ndani ya mwezi akaamua kumaliza mchezo kabisa
Huo nd ukwel
Huwez nambia mtu ajiuw kisa mke wa mtu au kisa katibu qlikuwa anapewa matak akapagawa[emoji23][emoji23][emoji23]
 
umemshauri Masanja wakati wa kwako haujamchunguza. Pole sana Nick wa pili.
 
Hizi tamthilia za Kifilipino wanazoangalia vijana wetu zinawatesa sana! 🤦🏾‍♂️🤦🏾‍♂️🤦🏾‍♂️
Hata mi Kuna Dem nilkua naye anapenda sana kuangalia Tamthilia za Mapenzi adi sometimes anaanza kuigilizia kama wanavofanya waigizaji nikajaribu kumkataza lakini wapi ....Kawa kama chizi Maisha yake ni kama movie.
Hizi screen zina madhara makubwa sana ktk jamii lakini madhara yake yapo yanatafuna watu kimya kimya
 
Nimeiona huko Twitter, inasemekana Katibu wa Kanisa la Mchungaji Masanja amejiua na kuacha waraka mrefu unaoeleza kuwa, alikuwa na mahusiano na mke wa Mchungaji wake Masanja, na kwamba penzi hilo limeelekea kufa, hivyo Katibu ameshindwa kuvumilia.
......
 
Back
Top Bottom