Ujumbe wa aliyejiua kisa penzi la Monica (mke wa Masanja). Chunguzeni wake zenu

Hamna kitu hapo wali boko, njegere mbichi, nyanya mbichi hakuna hata nazi. Mke hawezi pika hivyo labda kama ni wale .com mnao okota okota.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Huo nd ukwel
Huwez nambia mtu ajiuw kisa mke wa mtu au kisa katibu qlikuwa anapewa matak akapagawa[emoji23][emoji23][emoji23]
 
umemshauri Masanja wakati wa kwako haujamchunguza. Pole sana Nick wa pili.
 
Hizi tamthilia za Kifilipino wanazoangalia vijana wetu zinawatesa sana! πŸ€¦πŸΎβ€β™‚οΈπŸ€¦πŸΎβ€β™‚οΈπŸ€¦πŸΎβ€β™‚οΈ
Hata mi Kuna Dem nilkua naye anapenda sana kuangalia Tamthilia za Mapenzi adi sometimes anaanza kuigilizia kama wanavofanya waigizaji nikajaribu kumkataza lakini wapi ....Kawa kama chizi Maisha yake ni kama movie.
Hizi screen zina madhara makubwa sana ktk jamii lakini madhara yake yapo yanatafuna watu kimya kimya
 
Nimeiona huko Twitter, inasemekana Katibu wa Kanisa la Mchungaji Masanja amejiua na kuacha waraka mrefu unaoeleza kuwa, alikuwa na mahusiano na mke wa Mchungaji wake Masanja, na kwamba penzi hilo limeelekea kufa, hivyo Katibu ameshindwa kuvumilia.
......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…