Ujumbe wa Hamisa Mobetto kwa mumewe mtarajiwa

Ujumbe wa Hamisa Mobetto kwa mumewe mtarajiwa

Hivi mtu akizaa watoto wawili na wanaume wawili tofauti bado huwa anafikiria ataolewa tena na kuwa mama bora katika ndoa, kwanini asitulie aka hangaika na maisha yake kwa kufanya kazi au biashara ili asimame na wanaye, hao ndio walio mzalisha na je alio tembea nao idadi inafika ngapi na huwezi jua alichomoa ngapi za wangapi. Single mothers tulieni bhana ah
 
Back
Top Bottom