Ujumbe wa Henry Kileo mume wa Joyce Kiria

Nilipofika hapo kwenye Steve Jobs mwanzilishi wa iphone amekufa kwa kansa nimeacha kusoma.

Sipendi mtu anayeandika uongo halafu anaandika kama ana uhakika na hiko kitu
Mkuu hebu tupe ukweli kwa faida ya wengi.
 
To make long story short, jamaa amezungumzia "DIGNITY"
[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Kuoa mwanamke mwenye harakati haya ndio madhara yake
 
Siyo huyu mchizi aliyekuwa anatangaza harusi yake humu kwa mbwembwe nyiingi, je alifikiri wkt huo yeye ndo alikuwa wa kwanza kuolewa?
hahahaha...maisha Yame shamchapa makofi " so now amejifunza "."..so muacheni aiseee
 
Ujumbe umeeleweka,
Lakini je, huyu bado ni Mume wa yule Gumegume?
Nilidhani walishaachana hawa
 
Atafute mke, aachane na mipasho ya wanawake laivu, kuna mabinti kibao wanasubiri ndoa, yeye anabaki ana lalamika lalamika. Wanawake wameumbiwa kusaliti na kusalitiwa
duuuuh aisee... hahaaa "" wanawake wameumbwa " kusaliti na kusalitiwa ....asante mkuu""..
 
hapo kwenye uchumba si kweli kuna watu ni wamekata utepe na hawajawahi kuwa na ma x

aache kuwasingizia watu si kila mtu ni x wa fulani kuna watu hawana x
Nakubaliana na wewe mkuu, kama yeye alioa "used" ajue kuna wengine wameoa "brand new" kama DREAMLINER za JPM!
 
Kunywa maji kwanza halafu uje kuthibitisha Steve Jobs alianzisha kampuni ya iphone lini na alikua kwa kansa lini
We jamaa unakielewa unachoongea? Nani kaanzisha Apple? iPhone ni product ya kampuni gani? Yaani haujui hata kama steve Jobs alikua na cancer? Unashida mahala wewe
 
hapo kwenye uchumba si kweli kuna watu ni wamekata utepe na hawajawahi kuwa na ma x

aache kuwasingizia watu si kila mtu ni x wa fulani kuna watu hawana x
Hii ni nadharia yako tu. Huwezi kuwa na uhakika watu wamekata utepe mara ngapi kabla yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…