Mother Confessor
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 18,677
- 45,532
Hata nimesoma basi shosti me nimeamua tuu kumalizia komenti ya bujibuji,.maana hao watu mambo yao ni yaleyale tuu,. Aaagh!!!Amepatwa na nini kilewo? Talaka ama?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata nimesoma basi shosti me nimeamua tuu kumalizia komenti ya bujibuji,.maana hao watu mambo yao ni yaleyale tuu,. Aaagh!!!Amepatwa na nini kilewo? Talaka ama?
Ngoja niende insta kwa da joyHata nimesoma basi shosti me nimeamua tuu kumalizia komenti ya bujibuji,.maana hao watu mambo yao ni yaleyale tuu,. Aaagh!!!
Super Woman[emoji23]Ngoja niende insta kwa da joy
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji91]Super Woman[emoji23]
Mkuu hebu tupe ukweli kwa faida ya wengi.Nilipofika hapo kwenye Steve Jobs mwanzilishi wa iphone amekufa kwa kansa nimeacha kusoma.
Sipendi mtu anayeandika uongo halafu anaandika kama ana uhakika na hiko kitu
[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]To make long story short, jamaa amezungumzia "DIGNITY"
Naona hujui kuwa hujuiNilipofika hapo kwenye Steve Jobs mwanzilishi wa iphone amekufa kwa kansa nimeacha kusoma.
Sipendi mtu anayeandika uongo halafu anaandika kama ana uhakika na hiko kitu
hahahaha...maisha Yame shamchapa makofi " so now amejifunza "."..so muacheni aiseeeSiyo huyu mchizi aliyekuwa anatangaza harusi yake humu kwa mbwembwe nyiingi, je alifikiri wkt huo yeye ndo alikuwa wa kwanza kuolewa?
Ujumbe umeeleweka,Ameandika Henry Kileo mume wa Joyce Kiria katika ukurasa wake wa Facebook.
Hakuna chochote katika maisha cha kupigania!
Nguo zako zile bora kabisa kuna mtu kwake ni matambara tu.
Akiba yako kwenye akaunti ya Benki ni sawa na mchango wa mtu katika sherehe tu.
Boyfriend au Girlfriend wako au mchumba ni Ex wa mtu!
Hivyo ni nini hasa cha kujivunia?
Maisha ni mafupi sana na madogo mno kujisikia kuwa mkubwa ama bora kuliko mtu wengine.
"Tupo sote uchi hadi kufa" aliwahi kusema Steve Jobs. Gwiji muanzilishi wa iPhone (ambaye kwa sasa kifo kimemchukua kwa maradhi ya Cancer)
"Hakuna kitu kinachoweza kutuokoa sote Kukabiliwa na kifo".
Naumia kuona watu ambao hujivunia utajiri, uzuri, akili, kiwango cha elimu, umaarufu na vitu vingine vya tamaa za kimwili, kwani hakuna jambo umefanya la mafanikio katika maisha yako ambamo halijafanywa na mtu mwingine ama kupitia
Cheo unachomiliki ofisini leo kilikuwa kinamilikiwa na mtu mwingine kabla na kitatwaliwa na mtu mwingine baadaye, wala hujui mtu huyo anaweza kuwa nani
Kuna jambo moja tu la thamani la kujivunia ambalo ni "MAISHA ndani ya Mwenyezi MUNGU Muumba".
HIVYO ni vema kuwa mwema kwa Jamaa zako na daima tengeneza Marafiki!
Daima kumbuka kwamba watu unaowakanyaga wakati ukiwa njiani kukwea ngazi kwenda juu huenda wakawa ni walewale utakaowakuta kwenye safari yako ya kuteremka ngazi
Hivyo jitahidi usiwe tatizo kwa watu wengine au kufanya maisha magumu kwa mwingine kwa kutumia nafasi yako, kwa sababu kwa wewe kufanya hivyo ipo siku watu hao hao wanaweza kuwa kikwazo kwako siku moja mbeleni.
Kumbuka,hata jani la mgomba wa ndizi kuna siku litanyauka na kuwa majani makavu yasiyo na ukijani tena!
Tafadhali usiwe na Ubinafsi, Wajulishe marafiki wengine kuwa sote tupo njia moja.
Kama siku moja utajisikia kulia, niite. Sina ahadi ya kukufanya ucheke lakini naweza kulia na wewe.
Kama siku moja unataka kukimbia kwenda mbali usiogope simu yangu.Niite nami nakuahidi kukimbia bega kwa bega na wewe!
Lakini, kama siku moja utapiga simu yangu na haina majibu basi njoo kwangu, Huenda nakuhitaji wewe.
Siku moja, mmoja wetu hatutakuwa naye hapa tena na utasikitika juu yake lakini ukiwa umechelewa kwani hutokuwa na nafasi hiyo tena!
Machozi yanaweza kukutoka!,lakini itakuwa umechelewa. Kwa hiyo, mkumbushe na kumwambia kila mtu kama vile ambavyo mimi nimefanya!
duuuuh aisee... hahaaa "" wanawake wameumbwa " kusaliti na kusalitiwa ....asante mkuu""..Atafute mke, aachane na mipasho ya wanawake laivu, kuna mabinti kibao wanasubiri ndoa, yeye anabaki ana lalamika lalamika. Wanawake wameumbiwa kusaliti na kusalitiwa
Nakubaliana na wewe mkuu, kama yeye alioa "used" ajue kuna wengine wameoa "brand new" kama DREAMLINER za JPM!hapo kwenye uchumba si kweli kuna watu ni wamekata utepe na hawajawahi kuwa na ma x
aache kuwasingizia watu si kila mtu ni x wa fulani kuna watu hawana x
Jamaa nae anaongea tu hata hajui lolote maana ktk hilo Kileo hajakosea chochote. Nae anajifanya mjuaji kumbe hamna loloteMkuu hebu tupe ukweli kwa faida ya wengi.
We jamaa unakielewa unachoongea? Nani kaanzisha Apple? iPhone ni product ya kampuni gani? Yaani haujui hata kama steve Jobs alikua na cancer? Unashida mahala weweKunywa maji kwanza halafu uje kuthibitisha Steve Jobs alianzisha kampuni ya iphone lini na alikua kwa kansa lini
Hii ni nadharia yako tu. Huwezi kuwa na uhakika watu wamekata utepe mara ngapi kabla yakohapo kwenye uchumba si kweli kuna watu ni wamekata utepe na hawajawahi kuwa na ma x
aache kuwasingizia watu si kila mtu ni x wa fulani kuna watu hawana x
Mchungaji Bujibuji anena.....Kila kitu ni ubatili mtupu
Mama mchungaji mumu amenena........Na kujilisha upepo.