Matanga
JF-Expert Member
- Nov 13, 2019
- 2,281
- 3,976
Wapendwa kwa Huruma ya Mungu leo tumetimiza siku ya 254, tumebakiwa na siku 112 tumalize mwaka 2020
Tumuombe Mungu atulinde usiku huu atuepushe na wachawi, vibaka, wezi na mapepo tukiongozwa na NENO la FARAJA kutoka
MITHALI 8 : 17
*"Nawapenda wale wanipendao, na wale wanitafutao kwa bidii wataniona."*
NIKUTAKIE USINGIZI MNONO
BWANA AKUBARIKI SANA