UJUMBE WA LEO;Ukipendwa Pendeka..

UJUMBE WA LEO;Ukipendwa Pendeka..

zubedayo_mchuzi

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2011
Posts
4,873
Reaction score
1,217
Leo siku ya Pasaka na Ujumbe wangu ndo huo,Ukipendwa Nawe Pendeka,na Ukiitwa itika ili ucje ukaitika usipoitwa na kupenda usipo pendwa.
Mytake.kuweni waangalifu.
 
Ujumbe mzuri katika siku kama ya leo. Ni wazi kuwa huwezi itika kama usipoitwa kwa iyo ni lazima ukiitika umeitwa ila utajuaje kama ulipoitwa ndo penyewe? Nadhani hapo ndo mziki.
PASAKA NJEMA WADAU
 
Kweli kila kitu na wakati wake...huu ndo wakati mzuri wa ujumbe kama huo. Bado konyagi hazijasambaratisha kichwa.
 
Asanten kwa post zlzo kamilika kila vina ila ki2 k1 2 ucpo mjua nani anakupenda na moyo unakubali kupenda je ukigundua kua mambo hayafanyi kaz itakuje have a pasaka njema
 
Kweli kila kitu na wakati wake...huu ndo wakati mzuri wa ujumbe kama huo. Bado konyagi hazijasambaratisha kichwa.

bora wewe hujasambaratika....kuna wengine ndio tunaunga.....heri ya sikukuu....
 
au kwa maana nyingine, ukibebwa kunja miguu.
 
Kweli kila kitu na wakati wake...huu ndo wakati mzuri wa ujumbe kama huo. Bado konyagi hazijasambaratisha kichwa.

Mdau mwenzangu umenipa ra haa mi nipo serenget bdae nafunga hesabu na nyagi
 
Haya mama. Nashukuru kwa ujumbe wako. Nakutakia pasaka njema.
 
muda huu kila mtu ana percentage na element ya alcohol na wote mmelala
 
Nami nimeupenda ujumbe, nilishapendwa, nilishapenda, najua utam na uchungu wa mapenzi. Jumatatu ya Pasaka njema.
 
Back
Top Bottom