Ujumbe wa Leo: Usiingie kwenye mahusiano kwa sababu ya imani ya mtu, kila kitu kipe nafasi yake kwa wakati wake

Mie mbona well wisher jamani ndio maana alivokuja kivingine nikadhani handsome tall dark amekimbia, ningetafuta mganga tumtoe busha.....ndo ujue naiombea heri hii ndoa
Mwnyw nilimchek akasema n kweli mambo yamevurugika, dah nililia sana mchana mzima 😭 ila kumbe mambo yako vzr na baada ya 13 July nyapu itawaka moto rasmi kihalali 🔥
 
Anaolewa kwa mara ya kwanza au hii ndoa ni mkataba mupya???

Alilililiiiii aliliiiii uniletee kadi
 
Usioe au kuolewa na mtu kisa anahofu ya Mungu!, kwasababu swala la imani ni swala la uelewa na muda wowote mtu anaweza kubadili mawazo,ama kuamini tofauti na alivyokuwa akiamini awali!. kwa ufupi ni kwamba usaliti hutoka kwenye wema.

Dini (Uislam) ndio kigezo kikuu na cha msingi mno katika kumtafuta mke kwangu. Allah anisaidie katika hili.

Namuomba Allah anifishe katika Uislam.
 
Dini (Uislam) ndio kigezo kikuu na cha msingi mno katika kumtafuta mke kwangu. Allah anisaidie katika hili.
Naunga mkono hoja
Hata Mimi nilitumia kigezo hiki kumkubalia mume wangu mtarajiwa ninae tegemea kufunga nae ndoa trh 13 July mwaka huu.
Hii ni kwasababu hata akighafirika dini(uislamu) utamkumbusha.
 
Nawaombea kwa Sir God msije kufika level akataka kuongeza mke mwngn
 
Back
Top Bottom