Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Mie mbona well wisher jamani ndio maana alivokuja kivingine nikadhani handsome tall dark amekimbia, ningetafuta mganga tumtoe busha.....ndo ujue naiombea heri hii ndoaEvelyn Salt asione hii mana alikuwa kigagula wako kukuombea mabaya, sasa taarifa imfikie kuwa mambo bado ni 🔥🔥
Mwnyw nilimchek akasema n kweli mambo yamevurugika, dah nililia sana mchana mzima 😭 ila kumbe mambo yako vzr na baada ya 13 July nyapu itawaka moto rasmi kihalali 🔥Mie mbona well wisher jamani ndio maana alivokuja kivingine nikadhani handsome tall dark amekimbia, ningetafuta mganga tumtoe busha.....ndo ujue naiombea heri hii ndoa
Anaolewa kwa mara ya kwanza au hii ndoa ni mkataba mupya???Mwnyw nilimchek akasema n kweli mambo yamevurugika, dah nililia sana mchana mzima 😭 ila kumbe mambo yako vzr na baada ya 13 July nyapu itawaka moto rasmi kihalali 🔥
Ndoa ya mara ya kwanza na mkataba mpya, yani n vyote kwa pamoja 😂Anaolewa kwa mara ya kwanza au hii ndoa ni mkataba mupya???
Alilililiiiii aliliiiii uniletee kadi
Kwani ilishawahi kuwaka🤣Mwnyw nilimchek akasema n kweli mambo yamevurugika, dah nililia sana mchana mzima 😭 ila kumbe mambo yako vzr na baada ya 13 July nyapu itawaka moto rasmi kihalali 🔥
Usioe au kuolewa na mtu kisa anahofu ya Mungu!, kwasababu swala la imani ni swala la uelewa na muda wowote mtu anaweza kubadili mawazo,ama kuamini tofauti na alivyokuwa akiamini awali!. kwa ufupi ni kwamba usaliti hutoka kwenye wema.
Mh kwamba muda wa uchumba hamjawahi kukiwasha?Kwani ilishawahi kuwaka🤣
Naunga mkono hojaDini (Uislam) ndio kigezo kikuu na cha msingi mno katika kumtafuta mke kwangu. Allah anisaidie katika hili.
Ninajitunza kama wewe😁Mh kwamba muda wa uchumba hamjawahi kukiwasha?
Dah bc unyama sana kama jamaa anakwenda kuwa wa kwanza kwenye mwili wako 💪Ninajitunza kama wewe😁
Nawaombea kwa Sir God msije kufika level akataka kuongeza mke mwngnNaunga mkono hoja
Hata Mimi nilitumia kigezo hiki kumkubalia mume wangu mtarajiwa ninae tegemea kufunga nae ndoa trh 13 July mwaka huu.
Hii ni kwasababu hata akighafirika dini(uislamu) utamkumbusha.
Dini inaruhusu aongeze inapobidi.Nawaombea kwa Sir God msije kufika level akataka kuongeza mke mwngn
Cha msingi uwe na furaha tuu myDini inaruhusu aongeze inapobidi.
Naam naam.Cha msingi uwe na furaha tuu my