Ujumbe wa leo

Ujumbe wa leo

KING 360

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2016
Posts
3,002
Reaction score
5,192
Kamwe usichoke kumpenda anayekupenda hata kwenye ugumu wa maisha, kwani binadamu shupavu hachoki kupambana na vita ya maisha. Usiwaombee mabaya wale wanaokuchukia yawezekana wakashuhudia mafanikio yako wakiwa hai.

Mtu akikurushia mawe usimrudishie yakusanye ujenge daraja kuelekea kwenye mafanikio. Tambua anayekunyooshea kidole hahitahi jibu maana vidole vilivyobaki vinamwelekea yeye kwani moyo wa huruma ni dawa ya machozi.

Nakutakia siku njema.
 
Back
Top Bottom