Ujumbe wa leo

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
42,872
Reaction score
34,363
70807703_10162098157590198_7290490656047235072_n.jpg
 
Kuna jamaa Moja ni agent wa taasisi Moja ya huko Kwa Biden kwa hapa tz, nlirequest jambo online ili nikamilishe ilibidi na yy afanye kuruhusu na kwa kawaida hua haichukui nusu saa lkn siku hyo mpaka masaa sita bado sioni email yeyote nikamcheki agent akawa ananijibu ujinga nkatulia siku ya pili kimya, siku ya tatu kimya nikawa-email kule kwa Biden wakampiga pending siku 21 nikaja kuhudumiwa na mtu mwngn.

Yule agent akaniandikia ujumbe mrefu akaattach na hyo picha
 
Back
Top Bottom