Ujumbe wa Mchungaji Msigwa kwenye kongamano la Katiba Mpya ni Ushahidi kwamba hazina ya viongozi iko Chadema

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Baada ya kumsikiliza Mh Msigwa kwenye kongamano lililofana la Katiba mpya , nimetambua kisa cha uongozi wa ccm wa awamu ya 5 kutumia mabilioni ya pesa za umma kununua wapinzani .

Hakika Chadema kuna hazina ya viongozi .

Kwani ndio mnajua leo. Karata pekee inayozidi kuwabeba fisiemu kubaki madarakani ni hii katiba mbovu tuliyonayo.

Ndio maana mama anaomba apewe muda apime upepo. Anaogopa kuingia kichwa kichwa cm isije ikamfia.
CHADEMA ndio watakao tupatia katiba mpya kama watashinikiza kwa hoja na kupiga kelele za kutosha. Vinginevyo tujiandae kuona UDP inakuwa chama kikuu cha upinzani. Maana cc hatutashiriki uchaguzi bila katiba mpya.
 
Hawawezi kushindana penye mizani sawa
 
Swadakta
 
Back
Top Bottom