Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
HakikaChama bora barani Africa sio wale Zulumati wa fedha za wanachama NSSF
Hawawezi kushindana penye mizani sawaKwani ndio mnajua leo. Karata pekee inayozidi kuwabeba fisiemu kubaki madarakani ni hii katiba mbovu tuliyonayo.
Ndio maana mama anaomba apewe muda apime upepo. Anaogopa kuingia kichwa kichwa cm isije ikamfia.
CHADEMA ndio watakao tupatia katiba mpya kama watashinikiza kwa hoja na kupiga kelele za kutosha. Vinginevyo tujiandae kuona UDP inakuwa chama kikuu cha upinzani. Maana cc hatutashiriki uchaguzi bila katiba mpya.
SwadaktaKwani ndio mnajua leo. Karata pekee inayozidi kuwabeba fisiemu kubaki madarakani ni hii katiba mbovu tuliyonayo.
Ndio maana mama anaomba apewe muda apime upepo. Anaogopa kuingia kichwa kichwa cm isije ikamfia.
CHADEMA ndio watakao tupatia katiba mpya kama watashinikiza kwa hoja na kupiga kelele za kutosha. Vinginevyo tujiandae kuona UDP inakuwa chama kikuu cha upinzani. Maana cc hatutashiriki uchaguzi bila katiba mpya.
hakikaHawawezi kushindana penye mizani sawa