Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijui huu ujinga wenu mlisomea wapi? mbona chanjo nyingine za wazungu mnazitumia? kwani hizo sio biashara za wazungu?Sijui WHO ilikuwa wapi kudhibiti zile chanjo kule Sri-lanka zilizodhaniwa ni chanjo ya kansa ya mlango wa kizazi kumbe ni blockage ya mfumo wa uzazi , mabinti wasizae, siombei tujitenge na dunia lakini Tedros amekuwa daraja zuri kwa hiki tunakiita NWO, Tanzania tumechagua model yetu wenyewe that's non of his business, hatuwezi endelea na measures ambazo pamoja na kwamba zimefanywa sana lkn bado rate ya watu kupukutika imekuwa kubwa tu, labda true measures are hidden and these we see as measures remains a blanket for the diseases to go on spreading ili wauze dawa zao, kila nikikumbuka SAP conditions zilivyotumiwa na hizi taasisi za kibeberu kudidimiza uchumi wa 3 rd world countries ninashindwa kuwaamini hawa kina Ghebre Yesus ilhali hata wao hawajui nn kinaendelea..
Kongole Magufuli, better I die than receiving these hells called vaccines, better I die than wearing the hell called mask
Tanzania hakuna Corona,Vaa barakoa,maji tiririka,keep distane.Huingii sasa hivi hosipitali yoyote pamoja na Muhimbili bila baracoa,No Corona kabisa.Sijui WHO ilikuwa wapi kudhibiti zile chanjo kule Sri-lanka zilizodhaniwa ni chanjo ya kansa ya mlango wa kizazi kumbe ni blockage ya mfumo wa uzazi , mabinti wasizae, siombei tujitenge na dunia lakini Tedros amekuwa daraja zuri kwa hiki tunakiita NWO, Tanzania tumechagua model yetu wenyewe that's non of his business, hatuwezi endelea na measures ambazo pamoja na kwamba zimefanywa sana lkn bado rate ya watu kupukutika imekuwa kubwa tu, labda true measures are hidden and these we see as measures remains a blanket for the diseases to go on spreading ili wauze dawa zao, kila nikikumbuka SAP conditions zilivyotumiwa na hizi taasisi za kibeberu kudidimiza uchumi wa 3 rd world countries ninashindwa kuwaamini hawa kina Ghebre Yesus ilhali hata wao hawajui nn kinaendelea..
Kongole Magufuli, better I die than receiving these hells called vaccines, better I die than wearing the hell called mask
Unamaanisha nini kuuvamia mlengo wangu?, ujinga is sthn philosophical bhana unavyolielezea ni kana kwamba umeyapata majibu tayari ya nani mjinga na nani sio, hili ni suala la muda tu, uongozi ni maamuzi bra, stay watching utagundua nani mjinga na nani sio..Sijui huu ujinga wenu mlisomea wapi?
Mmeshakiri Corona ipo na zaidi inaua, lakini bado mnakuwa wazito kutoa ushirikiano kwa WHO ili wajue namna ya kutoa msaada wao kwa nchi yetu hasa kwenye suala la vaccines ambazo tayari mlishazikataa mkidai zina sumu, huku mkiendelea kutegemea nyungu ambazo hazijathibitishwa popote.
Nimekuona mjinga zaidi ulipotumia neno "labda" kutetea hoja zako za kipuuzi, hilo neno linaonesha hata wewe hauna uhakika na unachokisema ila umeamua kukurupuka tu na vijisababu vya mitaani ujiridhishe wewe na wajinga wenzio, na kwa upumbavu wenu huu mtasababisha madhara kwa wengi zaidi.
Unazungumzia nationalism leo?! hii ndio mizigo ya hili taifa, hope hapo ulipo hata nguo za mzungu hujavaa, unatembea na majani ya miti.Unamaanisha nini kuuvamia mlengo wangu?, ujinga is sthn philosophical bhana unavyolielezea ni kana kwamba umeyapata majibu tayari ya nani mjinga na nani sio, hili ni suala la muda tu, uongozi ni maamuzi bra, stay watching utagundua nani mjinga na nani sio..
Nafikir endelea kunawa mikono na kuvaa barakoa labda ndio utaitendea serikali haki as the best slogan says " don't ask what the gvt shall do for you instead find what u gonna do for your gvt"
Mimi ni conservative bra, nmekuwa addicted na Nationalism and can't be easy shaken by fro and to winds, fuata mlengo wako for your own betterment.
Nafikir wewe unafanya gossiping tu na ur probably thinking by your feets not brain, go go bra go, Mheshimiwa Rais amesema na mie nitafuata sasa shida iko wapi? na wewe fuata yako ya WHO. barakoa zipo hadi barabarani wanauza, sanitizer zipo kila kona kwa bei ndogo tu sasa kazi kwako.Tanzania hakuna Corona,Vaa barakoa,maji tiririka,keep distane.Huingii sasa hivi hosipitali yoyote pamoja na Muhimbili bila baracoa,No Corona kabisa.
Nlijua tu uwezo wako wa fikra umechanyikana na majani ya carribean [emoji263], sasa sijui ulitaka niuzungumzie huo utaifa wangu lini, nmekwambia hivi mimi ni CONSERVATIVE na natumaini sijapungunza bajeti ya kununua barakoa kwako kwa kuwa nationalist, btw, sioni kama umewahi kukomboka na huo unaouita usomi maake umewasoma mabeberu na kuwaelewa barabara (for your own good) you still unfit to me, if I die it's me if I get harmed it's me braUnazungumzia nationalism leo?! hii ndio mizigo ya hili taifa, hope hapo ulipo hata nguo za mzungu hujavaa, unatembea na majani ya miti.
Huku ndiyo kusoma bila kuelimika..Hivi SAP ilikuja baada ya Uchumi wa Afrika kua imara au kua mbaya sana?Sijui WHO ilikuwa wapi kudhibiti zile chanjo kule Sri-lanka zilizodhaniwa ni chanjo ya kansa ya mlango wa kizazi kumbe ni blockage ya mfumo wa uzazi , mabinti wasizae, siombei tujitenge na dunia lakini Tedros amekuwa daraja zuri kwa hiki tunakiita NWO, Tanzania tumechagua model yetu wenyewe that's non of his business, hatuwezi endelea na measures ambazo pamoja na kwamba zimefanywa sana lkn bado rate ya watu kupukutika imekuwa kubwa tu, labda true measures are hidden and these we see as measures remains a blanket for the diseases to go on spreading ili wauze dawa zao, kila nikikumbuka SAP conditions zilivyotumiwa na hizi taasisi za kibeberu kudidimiza uchumi wa 3 rd world countries ninashindwa kuwaamini hawa kina Ghebre Yesus ilhali hata wao hawajui nn kinaendelea..
Kongole Magufuli, better I die than receiving these hells called vaccines, better I die than wearing the hell called mask
we unafikir nini na unajua nn kuhusu SAP? ulisoma historia bra ili ujibu mtihani na uliishia pale fikra za mwl zilipoishia, nenda usome tena fikra za wazalendo, nasuggest #walter Rodney #China inco read those to drain ur darkness, Msabila naye anapaste toka Wikipedia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]wasomi oyeeee....soma ukweli wa Rock fella piaHuku ndiyo kusoma bila kuelimika..Hivi SAP ilikuja baada ya Uchumi wa Afrika kua imara au kua mbaya sana?
Sina tatizo na kifo chako, ni kweli kabisa ukifa kutokana na huu msimamo wako it's up to you, my concern ni kwa wale wanaoangamia kwa sababu ya kusikiliza misimamo ya hovyo kutoka kwa watu wa aina yako kwasababu ndio viongozi wa nchi.Nlijua tu uwezo wako wa fikra umechanyikana na majani ya carribean [emoji263], sasa sijui ulitaka niuzungumzie huo utaifa wangu lini, nmekwambia hivi mimi ni CONSERVATIVE na natumaini sijapungunza bajeti ya kununua barakoa kwako kwa kuwa nationalist, btw, sioni kama umewahi kukomboka na huo unaouita usomi maake umewasoma mabeberu na kuwaelewa barabara (for your own good) you still unfit to me, if I die it's me if I get harmed it's me bra
Huu u-pimbi sasa....better I die than wearing the hell called mask
We ñyumbu Sio?Nafikir wewe unafanya gossiping tu na ur probably thinking by your feets not brain, go go bra go, Mheshimiwa Rais amesema na mie nitafuata sasa shida iko wapi? na wewe fuata yako ya WHO. barakoa zipo hadi barabarani wanauza, sanitizer zipo kila kona kwa bei ndogo tu sasa kazi kwako.
Duuu naked truth I appriaciate this.
Its a diplomatic statement! I like it
Wewe ni mjingaSijui WHO ilikuwa wapi kudhibiti zile chanjo kule Sri-lanka zilizodhaniwa ni chanjo ya kansa ya mlango wa kizazi kumbe ni blockage ya mfumo wa uzazi , mabinti wasizae, siombei tujitenge na dunia lakini Tedros amekuwa daraja zuri kwa hiki tunakiita NWO, Tanzania tumechagua model yetu wenyewe that's non of his business, hatuwezi endelea na measures ambazo pamoja na kwamba zimefanywa sana lkn bado rate ya watu kupukutika imekuwa kubwa tu, labda true measures are hidden and these we see as measures remains a blanket for the diseases to go on spreading ili wauze dawa zao, kila nikikumbuka SAP conditions zilivyotumiwa na hizi taasisi za kibeberu kudidimiza uchumi wa 3 rd world countries ninashindwa kuwaamini hawa kina Ghebre Yesus ilhali hata wao hawajui nn kinaendelea..
Kongole Magufuli, better I die than receiving these hells called vaccines, better I die than wearing the hell called mask
Wacha unafiki...eti nimekuwa addicted na Nationalism....sema natetea tumbo languMimi ni conservative bra, nmekuwa addicted na Nationalism and can't be easy shaken by fro and to winds, fuata mlengo wako for your own betterment.
Ukiona mtu kakimbilia lugha ya mabeberu ujuwe ka panic, Mzalendo chanjo itakuja na watu watachoma atake mkuu au asitake, na yeye ndio atakuwa wa kwanza kwenye TBC kuhamasisha akichoma live na atasema tumejiridhisha iko poa, kisha tuma Kabudi yuko huko France anaomba Million 700 nchi tajiri sana sisi, sisi donors bla bla bla. Hatuna pesa za chanjo huo ndio ukweli mchungu.Unamaanisha nini kuuvamia mlengo wangu?, ujinga is sthn philosophical bhana unavyolielezea ni kana kwamba umeyapata majibu tayari ya nani mjinga na nani sio, hili ni suala la muda tu, uongozi ni maamuzi bra, stay watching utagundua nani mjinga na nani sio..
Nafikir endelea kunawa mikono na kuvaa barakoa labda ndio utaitendea serikali haki as the best slogan says " don't ask what the gvt shall do for you instead find what u gonna do for your gvt"
Mimi ni conservative bra, nmekuwa addicted na Nationalism and can't be easy shaken by fro and to winds, fuata mlengo wako for your own betterment.