Ujumbe wa Mkurugenzi Mkuu wa WHO kuhusu Tanzania na COVID-19

Sijui WHO ilikuwa wapi kudhibiti zile chanjo kule Sri-lanka zilizodhaniwa ni chanjo ya kansa ya mlango wa kizazi kumbe ni blockage ya mfumo wa uzazi , mabinti wasizae, siombei tujitenge na dunia lakini Tedros amekuwa daraja zuri kwa hiki tunakiita NWO, Tanzania tumechagua model yetu wenyewe that's non of his business, hatuwezi endelea na measures ambazo pamoja na kwamba zimefanywa sana lkn bado rate ya watu kupukutika imekuwa kubwa tu, labda true measures are hidden and these we see as measures remains a blanket for the diseases to go on spreading ili wauze dawa zao, kila nikikumbuka SAP conditions zilivyotumiwa na hizi taasisi za kibeberu kudidimiza uchumi wa 3 rd world countries ninashindwa kuwaamini hawa kina Ghebre Yesus ilhali hata wao hawajui nn kinaendelea..

Kongole Magufuli, better I die than receiving these hells called vaccines, better I die than wearing the hell called mask
Hivi akili yako inafanya kazi vizuri!? Hope you are not crazy!
 
@mzalendonambamoja, issue ya NWO ni conspiracy theory ambayo mtu anapotumia kwenye argument inatilisha shaka uwezo wake wa kupambanua mambo, sio kila kinachoandikwa kina mashiko, mengine ni upotoshaji tuu. NWO, illuminaties, nk nk ni pure rubbish ideas ambazo zinaendekezwa na hizi nchi zetu maskini tuu
Conspiracy? weka akiba ya maneno bra, go check and recheck utagundua nini ninazungumza, look with your natural eyes utaona vyema.
 
Sijui WHO ilikuwa wapi kudhibiti zile chanjo kule Sri-lanka zilizodhaniwa ni chanjo ya kansa ya mlango wa kizazi kumbe ni blockage ya mfumo wa uzazi , mabinti wasizae, siombei tujitenge na dunia lakini Tedros amekuwa daraja zuri kwa hiki tunakiita NWO, Tanzania tumechagua model yetu wenyewe that's non of his business, hatuwezi endelea na measures ambazo pamoja na kwamba zimefanywa sana lkn bado rate ya watu kupukutika imekuwa kubwa tu, labda true measures are hidden and these we see as measures remains a blanket for the diseases to go on spreading ili wauze dawa zao, kila nikikumbuka SAP conditions zilivyotumiwa na hizi taasisi za kibeberu kudidimiza uchumi wa 3 rd world countries ninashindwa kuwaamini hawa kina Ghebre Yesus ilhali hata wao hawajui nn kinaendelea..

Kongole Magufuli, better I die than receiving these hells called vaccines, better I die than wearing the hell called mask
"diseases to go on spreading ili wauze dawa zao, kila nikikumbuka SAP conditions zilivyotumiwa na hizi taasisi za kibeberu kudidimiza uchumi wa 3 rd world countries"

Hapo ndugu yangu umemaliza kabisa. Yaani hata mimi nikikumbuka jinsi Tanzania hii ilivyoweza hadi kumiliki viwanda vyake miaka ya 60 na 70, tena tukiwa wachanga mara tu baada ya uhuru, nchi ikiwa na wataalamu wachache, huwa nalia nikiona leo hii tuna wataalamu wengi lakini kila kitu tunaimport tu. Kisa cha haya yote ni hawa mabeberu namna walivyofrustrate juhudi zote za Nyerere kwa manufaa yao. Na kwenye hili la kuibuka kwa corona tena nchini najua wanafurahia kimoyomoyo kwamba tumefeli mipango yetu. But guess what? Tutashinda tena na corona itarudi huko ilikotoka kwa njia zile zile tulizoitumia kuishinda mara ya kwanza.
 
Sijui huu ujinga wenu mlisomea wapi? mbona chanjo nyingine za wazungu mnazitumia? kwani hizo sio biashara za wazungu?

Mmeshakiri Corona ipo na zaidi inaua, lakini bado mnakuwa wazito kutoa ushirikiano kwa WHO ili wajue namna ya kutoa msaada wao kwa nchi yetu hasa kwenye suala la vaccines ambazo tayari mlishazikataa mkidai zina sumu, huku mkiendelea kutegemea nyungu ambazo hazijathibitishwa popote unazoziita our model, hii model yenu ya kishirikina msituletee ujinga wenu.

Nimekuona mjinga zaidi ulipotumia neno "labda" kutetea hoja zako za kipuuzi, hilo neno linaonesha hata wewe hauna uhakika na unachokisema ila umeamua kukurupuka tu na vijisababu vya mitaani ujiridhishe wewe na wajinga wenzio, na kwa upumbavu wenu huu mtasababisha madhara kwa wengi zaidi.

Unaposema hutaki tujitenge na dunia wakati tayari mnafuata njia yenu peke yenu tofauti na wenzenu ndio nakuona hujielewi kabisa.
Wewe hizo chanjo umezifatlia kweli au wewe ndo mjinga
 
Sijui WHO ilikuwa wapi kudhibiti zile chanjo kule Sri-lanka zilizodhaniwa ni chanjo ya kansa ya mlango wa kizazi kumbe ni blockage ya mfumo wa uzazi , mabinti wasizae, siombei tujitenge na dunia lakini Tedros amekuwa daraja zuri kwa hiki tunakiita NWO, Tanzania tumechagua model yetu wenyewe that's non of his business, hatuwezi endelea na measures ambazo pamoja na kwamba zimefanywa sana lkn bado rate ya watu kupukutika imekuwa kubwa tu, labda true measures are hidden and these we see as measures remains a blanket for the diseases to go on spreading ili wauze dawa zao, kila nikikumbuka SAP conditions zilivyotumiwa na hizi taasisi za kibeberu kudidimiza uchumi wa 3 rd world countries ninashindwa kuwaamini hawa kina Ghebre Yesus ilhali hata wao hawajui nn kinaendelea..

Kongole Magufuli, better I die than receiving these hells called vaccines, better I die than wearing the hell called mask
Acha kukufuru.
Eti Bora ufe kuliko kupata chanjo au barakoa.Who are you by the way?Rais mstaafu J.Kikwete anavaa,sembuse mkulima wewe,mwenye kadi namba milioni kadhaa ya CCM.
 
Wewe hizo chanjo umezifatlia kweli au wewe ndo mjinga
Wewe umezifuatilia?Twambie technically what wrong with it? Every drug has certain level of toxicity and efficacy.
Relying on these two bases, can you tell us what you know about this vaccine?
 
Back
Top Bottom