Ujumbe wa Mkurugenzi Mkuu wa WHO kuhusu Tanzania na COVID-19

Hivi akili yako inafanya kazi vizuri!? Hope you are not crazy!
 
Conspiracy? weka akiba ya maneno bra, go check and recheck utagundua nini ninazungumza, look with your natural eyes utaona vyema.
 
"diseases to go on spreading ili wauze dawa zao, kila nikikumbuka SAP conditions zilivyotumiwa na hizi taasisi za kibeberu kudidimiza uchumi wa 3 rd world countries"

Hapo ndugu yangu umemaliza kabisa. Yaani hata mimi nikikumbuka jinsi Tanzania hii ilivyoweza hadi kumiliki viwanda vyake miaka ya 60 na 70, tena tukiwa wachanga mara tu baada ya uhuru, nchi ikiwa na wataalamu wachache, huwa nalia nikiona leo hii tuna wataalamu wengi lakini kila kitu tunaimport tu. Kisa cha haya yote ni hawa mabeberu namna walivyofrustrate juhudi zote za Nyerere kwa manufaa yao. Na kwenye hili la kuibuka kwa corona tena nchini najua wanafurahia kimoyomoyo kwamba tumefeli mipango yetu. But guess what? Tutashinda tena na corona itarudi huko ilikotoka kwa njia zile zile tulizoitumia kuishinda mara ya kwanza.
 
Wewe hizo chanjo umezifatlia kweli au wewe ndo mjinga
 
Acha kukufuru.
Eti Bora ufe kuliko kupata chanjo au barakoa.Who are you by the way?Rais mstaafu J.Kikwete anavaa,sembuse mkulima wewe,mwenye kadi namba milioni kadhaa ya CCM.
 
Wewe hizo chanjo umezifatlia kweli au wewe ndo mjinga
Wewe umezifuatilia?Twambie technically what wrong with it? Every drug has certain level of toxicity and efficacy.
Relying on these two bases, can you tell us what you know about this vaccine?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…