Kuna kitu Napewa hapa.hatutakiiii kwa nini umekua mpole hivyo
Shunie,niachie kwanza ivuga wanguhatutakiiii kwa nini umekua mpole hivyo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] lakini maserati Una nini?? Unaacha kuniombea nitoke mapema unazidi kuniombea vibaya[emoji24][emoji24][emoji24]naensa kuomba ruhusa sasa rafiki yangu maserati amefariki nirudi mjini [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]Unajua wewe sometimes Una undugu na Israel??
Sasa mie double 2 za nini jamani.
relato umekuwa mkorofi ghafla toka uende huko porini Kama wamekurudisha rasmi vile
Hutaki kizuri kula na nduguyo?hahhahah raha kujuana wake wenza halaf mpatane kama hivyo ila kwangu me hapana mke mwenza ukakufwe kwa mbele huko
Siri yetu[emoji6]kipi hiko jamaan ebu tuambie na sisi tujue
Wakushare nani huyo?? Labda Huku jf aiseee. Sio kwingine. Tena huyo mj... wangu [emoji23][emoji23][emoji23]hapana labda sio yeyerelato share ukiwa haumjui mke mwenzio umjue kabisa halaf mpatane hivyo hapana aisee nitauaaa
Kuna kitu Napewa hapa.
Siri yetu[emoji6]
Sharing is caring jamaniiirelato share ukiwa haumjui mke mwenzio umjue kabisa halaf mpatane hivyo hapana aisee nitauaaa
Aaaghaaa. Unaelekea kuharibu maserati sasaWakushare nani huyo?? Labda Huku jf aiseee. Sio kwingine. Tena huyo mj... wangu [emoji23][emoji23][emoji23]hapana labda sio yeye
Ndio.hahaha huku jf ndio anapo share
Thubutu yako.Sharing is caring jamaniii
Basiii yaisheeeAaaghaaa. Unaelekea kuharibu maserati sasa
Hapana relato. Uniue wakati bado nkomzima!!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] lakini maserati Una nini?? Unaacha kuniombea nitoke mapema unazidi kuniombea vibaya[emoji24][emoji24][emoji24]naensa kuomba ruhusa sasa rafiki yangu maserati amefariki nirudi mjini [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Uuuuuuuwiiiiih!!!! Nifunge na kusali,Mungu anipe rafiki mpya.Hapana relato. Uniue wakati bado nkomzima!!!
Nakuja na ID zangu zote kambini nawaambia jamani huyu mdanganyifu abaki Huku Huku milele yote