relato
JF-Expert Member
- Mar 20, 2017
- 689
- 986
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ndio hivohapana relato
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ndio hivohapana relato
HahahaMpe tena za double huyoooo
Una moyoo shogaaKama ni Inna mke mwenzangu namjua huyo
Hahahahahhahah raha kujuana wake wenza halaf mpatane kama hivyo ila kwangu me hapana mke mwenza ukakufwe kwa mbele huko
[emoji22] [emoji22] [emoji22] [emoji22] sakayo unamsikiliza chizi relato[emoji26]Utajua wa kumpa wewe!!!
Poa,Maserati. Me time to go my dear.
Check Sms za kawaida basi.
Bye Shunie and sakayo.
Tukipata chance tena nitawacheki wapenzi.
Mniangalizie maserati wangu nmkute salama..
Nawapenda
Kila la kheri my dear, Mungu akutunze Maserati yuko mikono salama...Maserati. Me time to go my dear.
Check Sms za kawaida basi.
Bye Shunie and sakayo.
Tukipata chance tena nitawacheki wapenzi.
Mniangalizie maserati wangu nmkute salama..
Nawapenda
Sakayo,Una moyoo shogaa
Mara hii amekuwa chizi tena, mie namuamini bhana, au nifanye nne kabisaa[emoji22] [emoji22] [emoji22] [emoji22] sakayo unamsikiliza chizi relato[emoji26]
Umeonaeemoyo sio wa nchi hii me siwezi nitaua yaan nisijue
OoohSakayo,
Muongo huyo. Anaweza kushare jf Huku Huku. Sio njeeee
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Oooh
Nimeshtuka mnoo
Yaani mie Hapa tu. Mpaka nalia Huku.Kila la kheri my dear, Mungu akutunze Maserati yuko mikono salama...
Tunakupenda pia
Anajijua yeye hatokuwepo. Na alivosema mbili kushabikia sasa mie nafanyaje jamani.Mara hii amekuwa chizi tena, mie namuamini bhana, au nifanye nne kabisaa