Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na hautaachwa wewe kwenye hii vita.vita ya madawa ya kulevya halijawahi kumuacha mtu salama
Copiednimeona achana nao Daby ungekaa kimya tu
Akwendwee hukooNimeona
Sema kuna fala kazingua nimeingia tu nakutana na mshamba mmoja.
Kuna nyakati tunakuwaga wapweke.hahhaa upweke wa nini tena fakalava we si umewowa
Mbona mie Sijaona jamaninimeona achana nao Daby ungekaa kimya tu
Jamaniiiiupo hapa chit chat kapondwa Daby si unajua watu wa jf mtu akiamka ndio hivyo hivyo anavyoamka
Halafu siku hizi wamekuwa wengi sanaaa humu ndaniSanaa aisee kuhalibiana siku tu
Chama kimevamiwa...Swahiba kuna nini hapa
Nani mvamiziiChama kimevamiwa...
Sijuii shiida ni nini hasa, ila ni kuwapuuza tuSanaaa kama tupo fb sijui shida ni nini
Ni upuuzi uliopitiliza ujueKweli ni kuwapuuza tu ila ni tatizo kubwa sana kumchukia mtu humjui kabisa hata anavyofanania