OK PoaAseeh
Ila hii nzuri.
HahahaSwahiba nimesononeka saana.
Nimeghadhafika saana
Nimesikitishwa na kukunyatika nafsi kuona msamaha wako hadi kunako mida hii ya kupeana joto haujakubaliwa.
Kama msaidizi kinda kinda wa chama chetu naomba nichukue wasaa huu kwa kuzingatia itifaki kusema nimeziba kikojoleo cha muombwa msamaha.
Woooooowwww
Sijui nisemeje mamy wangu, mdogo wangu wa dar, rafiki na mtoto wangu wa kwanza...... Najikuta tu machozi yanitoka mieee!!!!
Shunie wangu, Kivuruge wa Lee na shem ake T.... Nakupenda mpaka najionea wivu, sijajuta kukufamu wewe jamani. Rafiki yako ni rafiki yangu and I swear adui yako ni adui yangu namba moja....
Mungu akutunze mdogo wangu, najua kwaito utaicheza mpaka ulale ila tutaanza kwa Daby...
Shunie nakupenda saaana mpaka nashindwa kuelezea!!!!! Mungu mtunze pacha wanguu!!!!
.Daah hata sijui niandike vipi kukuelezea naandika nafuta katika maisha kuna mazingira unaweza kukutana na mtu unajiuliza alikua wapi siku zote.
Naishkuru JF kwa kunipa rafiki aliye mwema kwangu nakupenda sakayo wangu Mungu azidi kukuweka una roho ya pekee pale ninapokusumbua wala hujal kabisa nikivurugwa na stress zangu lazima nikukimbilie kama nalia tunalia wote kama nikicheka tunacheka wote.
Mungu azidi kukutunza nije kucheza kwaito yako [emoji23] [emoji23] [emoji23] Sakayo wa Transcend, shunie anakupenda munooooo [emoji8]
Me huyu mdogo ako nshamshindwa sasaHawayuni
Sistahili adhabu kubwa kiasi hicho, Ko utamu kwangu ndo basi tena
Koh kohhata sijui mimi [emoji57]
Hata wewe apoHahah wakina nani
Mzee analia bwana msikilizeHahaha
Yaani wewe, Nakugawa buree
We ziba tuu mwaya, ila ujue kikiziba na cha wifi chaziba piaKuna nusu saa ya kubadilisha mawazo.
Tatizo moyo wako mdogo weweMe huyu mdogo ako nshamshindwa sasa
HahahaSanaaaa hata mimi nimeipenda
Shukrani my Dada tutazingatia sana ushauri wako [emoji120] upo lakini au tunapishana.
Hongereni sana kwa kuonesha hisia zenu za upendo uliopo ndani yenu.
Nawaombea muwe marafiki wema daima dawamu.
Ila nawaomba muwe makini na marafiki wasiopenda kuona urafiki wenu ukikua.
Ni hayo tu, nisalimieni Daby
Dada yenu,
Madame B.
Nimeamua kujifunza kukubali kukataliwa. Kukataliwa kubaya lakini ntafanyaje sasa??Sistahili adhabu kubwa kiasi hicho, Ko utamu kwangu ndo basi tena
Asante sanaaa Madame B, wewe ni wa mfano kwa kweeli. Mungu akutunze dadangu.
Hongereni sana kwa kuonesha hisia zenu za upendo uliopo ndani yenu.
Nawaombea muwe marafiki wema daima dawamu.
Ila nawaomba muwe makini na marafiki wasiopenda kuona urafiki wenu ukikua.
Ni hayo tu, nisalimieni Daby
Dada yenu,
Madame B.