Nami Nawaombea Mdumishe Urafiki WenuAmeeen
HahahaAnaongea na efm
Asante kwa kujaliNami Nawaombea Mdumishe Urafiki Wenu
Yalishapita hayo jamaniDada ujue amenikwaza sana unanijua vizuri sana mimi
Hao hawajakua bhanasawa lakini ujue najiskia vibaya mtu anacomment vibaya kuhusu mimi yote ni yeye
Nimehama Dada Sipo Tena Mabibo[emoji120] [emoji120] Kaka Eddy vipi makazi mapya ya mabibo kumekuchaa
[emoji3][emoji3]ndo nasubiri majibu ya sakayo au ndo umemjibia mama mchungaji!Heheee umekosa fursa polee[emoji12] [emoji12]
Mkuu naomba kujua tofauti kati ya HDMI na VGA ili ikiwezekana tufanye mihamara.*kwa wale wenye maduka ya vifaa vya simu na computer*
Tunauza vifaa aina zote duniani kwa bei ya jumla,
Mfano;
vga
Hdmi
Mouse
Keybord
Sound card
Usb cable aina zote
Game controller
Speakers
Monitor
Memory card
Flash disk
Adapter za laptop OG
Adapter za volt12/9 kwa ajili ya ving'amuz
AU KAMA UNA CHOCHOTE UNACHOHITAJI NJOO INBOX UTAJIPATIA KWA BEI RAHISI.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] unatuzoom to from the other side.Nawaona nawaonaaaa
Kamekuwa kakorofi hako kamtu siku hizi...Kakutania bwana.
Ila kadi mbili ni kuonyesha msisitzo kuwa wewe ni ndugu wa damuuu
Asante sana mdogo wangu Shunie.Shukrani my Dada tutazingatia sana ushauri wako [emoji120] upo lakini au tunapishana
Amina na asante, nanyi pia Mungu awasimamie katika msimamo wenu.Asante sanaaa Madame B, wewe ni wa mfano kwa kweeli. Mungu akutunze dadangu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sijui atapatikana lini yule mtoto ayaone Haya..ya beibee wakeAisee inna na relato hawana mume
Video Cables Explained: Difference Between VGA, DVI, and HDMI PortsMkuu naomba kujua tofauti kati ya HDMI na VGA ili ikiwezekana tufanye mihamara.
Sharing is caring jamaniii
Mtu na mjomba ake they are sailing in the same boat. Hapana,Hahaha
Jirani sharing is Caring.