Ujumbe wa Sakayo

Ujumbe wa Sakayo

Status
Not open for further replies.
*kwa wale wenye maduka ya vifaa vya simu na computer*


Tunauza vifaa aina zote duniani kwa bei ya jumla,

Mfano;
vga
Hdmi
Mouse
Keybord
Sound card
Usb cable aina zote
Game controller
Speakers
Monitor
Memory card
Flash disk
Adapter za laptop OG
Adapter za volt12/9 kwa ajili ya ving'amuz

AU KAMA UNA CHOCHOTE UNACHOHITAJI NJOO INBOX UTAJIPATIA KWA BEI RAHISI.
Mkuu naomba kujua tofauti kati ya HDMI na VGA ili ikiwezekana tufanye mihamara.
 
Shukrani my Dada tutazingatia sana ushauri wako [emoji120] upo lakini au tunapishana
Asante sana mdogo wangu Shunie.
Nipo...si unajua nimekua kifikra, hivo nashinda jukwaa la siasa, japo kuna changamoto nyingi....ila nakabiliana nazo.
Nitashukuru kama mtazingatia wadogo zangu.
Asante sanaaa Madame B, wewe ni wa mfano kwa kweeli. Mungu akutunze dadangu
Amina na asante, nanyi pia Mungu awasimamie katika msimamo wenu.
Msitetereke muonapo vikwazo, bali kabilianeni navyo.
Tuko pamoja.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom