Marahabaaa kijukuu, utakuja lini kumnyoa babu ndevu?hatujambo shikamoo fakalava
Hapo Sawahahahah kwahiyo awe rafiki yetu wote
Me nimekubali Shunie, kuwa rafiki wa wadada kam nyie is so proud[emoji85] [emoji85] jamaan si ulikua unataka awe rafiki yako ila hawezi kukubali mpaka na me nikubali yaan uwe rafiki yetu wote
Shunie wewe ni mkorofi mwoga eeeh[emoji2] [emoji2] [emoji2] dada bana hivi mumeo mbona kaweka kambi mmu ujue nimemuuliza
Hahahaaa..... Hivi babu inaanzia miaka mingapi, maana huku kitaa wananiita babu Jimmy japo siyo mzee.makubwa haya umekua babu tena
Ahsantee sana Rafiki zangu. Naamin kila mtakachofanya chema ni cha wote, msinisahau kila mnapopitia furaha, sisi ni kondoo wa zizi mojakaribu sana rafiki yetu me na sakayo
Mmmmh[emoji23] [emoji23] [emoji23] najua basi nimemuuliza kaniambia anakutafuta wewe
HahahaAhsantee sana Rafiki zangu. Naamin kila mtakachofanya chema ni cha wote, msinisahau kila mnapopitia furaha, sisi ni kondoo wa zizi moja
We ni mkarimu eehkaribu sana rafiki yetu me na sakayo