Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nilikusalimia kaka slave mbona haujaitikia
Wewe ni muoga sanaa ,unatishiwa na kila kitu, list ya marafikimbona unanitisha jamaan list gani tena
Hehehee acha uwoga, utakosa vitu vizuri maan ukiwa mwoga huwez kuwa na confidenceumejuaje me muoga sana jamaan yaan tena wanaume ndio nawaogopa mimi labda baby wangu tu ndio nimemzoea
Sakayo ameelewa vizuriiihivi dada umeelewaje
Nipo furesh wewe jeHabari yako lakini
Kwa kiasi fulan ila kuna umri sio wa kuogopa tenauwoga unasaidia sana unaepukana na vingi ndio kama hivi
shem kila mtu na mawazo yake ujue lakini ukweli tunaujua sisi wenyewe salaam za lee zimefika au kama atapita atazionaUrafiki wa mwanamke kwa mwanamke huwa wamashaka sana,
Aaahh... Huu usingizi unanichosha acha nirudi zangu kulala, BTW endelezeni undugu wenu Mungu awasimamie, Shunie msalimie Lee mwambie hapokei simu zangu kwanini?
Haya shem wangu Mungu alituleta duniani kuunganisha dunia, na hapo kwa Sakayo wala sina Shaka napo, she's good to you, to anyone! Mbarikiweshem kila mtu na mawazo yake ujue lakini ukweli tunaujua sisi wenyewe salaam za lee zimefika au kama atapita ataziona
Ww ungekuwa muoga kweli hata sakayo usingempata, umejenga marafiki kwa ujasiri wako. Mwambie sakayo awe rafiki kwangu piahapana bana uwoga hauna umri
Akuuuhivi dada umeelewaje
Hata mieNipo furesh wewe je