fakalava
JF-Expert Member
- Jul 16, 2015
- 4,459
- 6,027
Mbona mnanichanganya, kuna jamaa yangu Mbondei nimuombe anipe tuisheni. Nikikuibukia kwa kilugha utanielewa.Mie mbonde
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona mnanichanganya, kuna jamaa yangu Mbondei nimuombe anipe tuisheni. Nikikuibukia kwa kilugha utanielewa.Mie mbonde
Huhuhuuu mwenyewe nishavutiwa na hizo sound zako wallahhahahhh ukipata utuambie
Mbona mnanichanganya, kuna jamaa yangu Mbondei nimuombe anipe tuisheni. Nikikuibukia kwa kilugha utanielewa.
Kila la kheriHaya mapenzi jamani khaaaaaaah ngoja na me nitafute humu humuu
Khaaaaah wa kiume kwangu ana kazi moja tu. Michongo ya helaaaa,,, wa kike anaenda zaidi ya helanilijua unataka kutafuta rafiki wa kiume kama sisi tulivyo wanawake kwa wanawake
Kazi gani tenakazi ipo
Mhhh!!!Mbonde jina
I wish wewe pia uwe rafiki mwema kwangu, Msalimie Sakayobasi tunakuombea upate hao marafiki unaowahitaji
Hahahaaa ni urafiki tu jamnii wala usiilazimishe akili yako kufikiri sanaahahahh salam zimefika umeshanitisha kuhusu urafiki wako na watoto wa kike
Sakayo hahahahaa nipe campan kwenye hii safariKila la kheri
SijamboI wish wewe pia uwe rafiki mwema kwangu, Msalimie Sakayo