Jamaniiii.....Kila nikikutana na wewe babu unampiga michuchu sound
Mmmnh HAPANA sijaona ujumbe wowote maybe sijaelewa ujumbe WA Aina gani.hakuna ujumbe ameupata
[emoji125] [emoji125] [emoji125][emoji2] [emoji2]
Maumivu babu, we mwenyewe unajua nilivyo na wivu
AmekimbiaAkikujibu niite
Isjali dogo langu[emoji134] [emoji134] huu kwa ajili ya sakayo tu kaka nakupenda munooooo
Asante mkuuSawa kila LA heri,Mungu awabariki na Urafiki wa kudumu
Pole babu jamani
Nieleweshe Pls husiniache mtupu km ulivyonikutahujaelewa usijal bana
Haleluyaaushindweee me nimeshamrudia Mungu wangu
Maumivu babu, we mwenyewe unajua nilivyo na wivu
Ni wewe jamani, kila siku nilikuwa nalia, zile sms tamu ukaacha kunitumiaUlinifananisha tu, sikuwa mimi wallah