Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
- Thread starter
- #81
ukijiamini utajiona una hogo la jangombe acha kuwaza sababu ya maumbile uliyonayo muombe Mungu akupe mwanamke wa kufanana na wewe wa kukupenda wewe kama ulivyoShunie unaona sasa tunavyosakamwa jamani! Mungu anawaona Hivi kwanini hawa mabody builder wa kibongo wana vibamia??