Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,223
- 96,083
Afu we ulikuwa wapi siku zote hizi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Afu we ulikuwa wapi siku zote hizi?
Naona bhana
Nilikuambia hukutaka kunisikiaHeee
Yamekuwa hayoo tenaa jamani
AsanteHongera sana na mimi natafuta pia rafiki
Aiseeeekikulacho kipo nguoni mwako wewe babu
HahahaWivu sina ila roho inauma
Kwa nini lakini ulinitenda vileHahahahaa.... yani wewe.
We sawa tu.
Me I will always thank jf. Tunapata Marafiki wa dhati kabisa.
Namzoom tu from the other sideAfu we ulikuwa wapi siku zote hizi?
Naona ushalewa konyagi wewe...Namzoom tu from the other side
Mwanaume anaweza kujikaza??jikaze babu
Sijakuuliza wewe bhana, subiria aje kujibu... Yaaani hapanaMi nna mashemeji wengi sana... nimejaaliwa kuwa na wadogo zangu watanashati ujue
Umesahau siooMi napenda nukushike wakati wowote. Sema tu we hutaki kunipa nafasi
Hivi unajisikiaje unaponizushia uongo lakini??Kwa nini lakini ulinitenda vile