Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,448
Yaaniwe babu simu yako si imejaa mapicha tu [emoji15] [emoji15]
Sijui naniii anamtumia hayo yote, alafu ana forward tuu humu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaaniwe babu simu yako si imejaa mapicha tu [emoji15] [emoji15]
Umekwiva mbona mwanafunzi wangu[emoji2] [emoji2] [emoji2] wala hauhitaji tutionDe rien
Nimepatia??? Bado nahitaji tuition ya hii lugha luv
Basi hivi je?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sio kwa sorry hii
Apology accepted tho
Cc maserati
AmeeenSiwezi kukusahau kwenye sala zangu
Yaani @Aspirn una vituko[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sio kwa sorry hii
Apology accepted tho
Cc maserati
Yaani hata Sielewi hapooo kabisaahivi akisema anataka file lake anamaanisha nini
Mmmmmh. Relato wewe Mungu anakuonaAaghaa wapi [emoji2] [emoji2] [emoji2] ha ha ha ha. Bado sanaaa Niko na ivuga wangu
Ko nimekuchekesha siooHahahahaha,.... yani nimecheka almanusura nipaliwe.
Khaaa!!
Kumbe mafile ndo tatizo??
Sio kwamba nakujali tu... bali nakuheshimu, nakusikiliza, nakupenda na zaidi zaidi sanaAmeeen
Ina maana bado wanijali....
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] relato ujue Mungu anakuona???hahahhh hongereni sana
Kwa ajili ya ukaguziKo nimekuchekesha sioo
We hayo ma file ya nini tena ya wachuchu
Uliza na wewemmh kwahiyo humo ndio kuna habari za hao wadada
Nataka kuwaoza wadogo zanguHalafu yoote ya wachuchu
Hahahaaache bwana anatujazia tuu