Ujumbe wa Sakayo

Ujumbe wa Sakayo

Status
Not open for further replies.
Shunie na Sakayo Si kweli kwamba jungu kuu halikosi ukoko maana Si kila jungu limewahi pikiwa

Ila jungu kuu halikosi vijungu maana kila kwenye kubwa basi kuna dogo naomba niwe jungu nanyi muwe vijungu
sina hata nilichoelewa hivi umemaanisha vipi
 
Woooooowwww
Sijui nisemeje mamy wangu, mdogo wangu wa dar, rafiki na mtoto wangu wa kwanza...... Najikuta tu machozi yanitoka mieee!!!!

Shunie wangu, Kivuruge wa Lee na shem ake T.... Nakupenda mpaka najionea wivu, sijajuta kukufamu wewe jamani. Rafiki yako ni rafiki yangu and I swear adui yako ni adui yangu namba moja....

Mungu akutunze mdogo wangu, najua kwaito utaicheza mpaka ulale ila tutaanza kwa Daby...

Shunie nakupenda saaana mpaka nashindwa kuelezea!!!!! Mungu mtunze pacha wanguu!!!!
Cc Daby
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom