Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mamdogo umeanza eeehmzigua jamaan hivi kumbe na we upo kwenye list ya bamdogo
Rudi hapaHahaha[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
AiseeeeNdo maana nakupenda bby...
Vipi yule mwingine, wa St naniliuDunia nzima inajua hadi jukwaa la wakubwa wanajua mzigua ni wa nani
Yaanihahahhh chenga sio za nchi hii
Lol.. Ana list ndefu eeeh?mzigua jamaan hivi kumbe na we upo kwenye list ya bamdogo
Amekimbia ujueakikujibu niite dada
Shangaa na wewekhee
me ndio najua leo kwahiyo mzigua ni wangapi
Namuachia mungusijaanza bamdogo nauliza tu mie nijue
Vipi yule mwingine, wa St naniliu
Mie namuogopa bhanahahahhh sitaki tuanze wote
Na wewe Mungu anakuona ujueNamuachia mungu
Nitaachaje kujua sasa.Ntakutunzia bby si unajua wanawake wa Tanga tulivyo loyal.
Usiwasikilize hawaLol.. Ana list ndefu eeeh?