Malaika-Hakika
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 238
- 232
Weka card ya mchango tujumuike pamoja bhana vipi mkuu hutaki nduguzo tuhudhurie shughuli yako ya kwenda kujishughulisha??Nimewahiwa tayari, kwaito ni mwezi wa tisa mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Weka card ya mchango tujumuike pamoja bhana vipi mkuu hutaki nduguzo tuhudhurie shughuli yako ya kwenda kujishughulisha??Nimewahiwa tayari, kwaito ni mwezi wa tisa mkuu
Mie nakusikiliza wew tuNitaachaje kujua sasa.
Week hii pack mabegi nikupelekeze Bomani![]()
Usiwasikilize hawa
Asante mpenzi...huyo baba angu mdogo mzigua siwezi msema vibaya karibu sana kwenye familia
Eeenheehuyo baba angu mdogo mzigua siwezi msema vibaya karibu sana kwenye familia
Na wewe wa Tanga pia??tanga ndio home
Usijali utapata kadi za mchango, mbili tuWeka card ya mchango tujumuike pamoja bhana vipi mkuu hutaki nduguzo tuhudhurie shughuli yako ya kwenda kujishughulisha??
Wa Lushoto au amani?sambaa moja
Sema ukwelihivi nafanyaje dada kwa mfano
Okay mamy.mlalo mission
We unaona kuna kwaito hapooohahahhhh dada hutaki tucheze kwaito
Fanya hivyo mkuu kijana wa Kwanjeka nijichangishe kwa dadaangu kusherehekea kulala bila nguo na shemeji...Usijali utapata kadi za mchango, mbili tu