Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aiseekweli ujue leo sijui siku ya ngapi kaweka kambi mmu mpaka nimeamua kumuuliza kuna kitu gani unatafuta
Tenaaaame na we
Miongo mitatu.hahahhh eti babu jimmy kwani we una miaka mingapi
Hayahahahhh dada ndio umuulize mumeo
Nimeanza nini miehahahhh naona umeanza siku hizi
Mmmmhukarimu
Unashutuka nini ati?
Nipo Shunie...Asante Rogie jaman upo lakini sijakuona mda sana
Utacheza na ShunieSawa nimewaelewa pia nimependa hii kwaito babu naweza cheza na sakayo au shunie[emoji446][emoji446][emoji447][emoji447][emoji445][emoji445][emoji444][emoji441][emoji441]
Mmh nahisi shunie atanichamba! Wew ndo poaUtacheza na Shunie
AkuuuMmh nahisi shunie atanichamba! Wew ndo poa
AmeeenSijui na mimi nisemeje nashindwa kuziba mdomo[emoji40] [emoji40] kabisa kivuruge wa lee wewe
Mi si mlinzi wako mimi najikuta machozi yanatoka [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] kulilia mshahara wangu haiwezekeni nifanye kazi bure bure aisee....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jamani umeshachukuria sereous acha izo
Urafiki wenu hudumu sana[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]