Makox
Senior Member
- Jan 19, 2014
- 125
- 163
HABARI WAKUU WANGU WA JAMII FORUM!
Awali ya yote natumia fursa hii KUWASHUKURU sana kwa maoni yenu mliyokuwa mkinipatia tangu nilipoweka post ya kutengenezewa zengwe na mkuu wa shule na mzazi wa mwanafunzi mpaka nikafukuzwa kazi hivyo kuwaomba ushauri wa namna yoyote ile.
Kwa post hii ya Leo NINAWASHUKURU SANA NYOTE Hasa Kwa mawazo na ushauri mlionipa humu na kwa kunipigia Simu kwani baada ya kurejeshwa kazini kesi ilianzishwa upya kama ilivyoagizwa na TSC makao makuu na NILISHAPEWA BARUA YA UMAMUZI WA TUHUMA YANGU ambapo SIKUPATIKANA NA HATIA YOYOTE.
Aidha ninawaombeni muendelee kunipa ushauri wa Nini kifanyike baada ya kushinda kesi pamoja na kuendelea kuwashauri watu wengine wanaopatwa na changamoto kama yangu na nyingine zote.
Hakika Sina Cha kuwalipa Zaidi ya kuwaombea kwa Mungu wetu aendelee kuwasimamia katika Majukumu yenu ya kila siku.
AMA KWELI JAMII FORUM NI ZAIDI YA FAMILIA YA WAPENDANAO UKIITUMIA VYEMA.
MUNGU AWABARIKI SANA🙏🙏