Elections 2010 Ujumbe wa simu, uchaguzi mkuu 2010

Mkombozi

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2008
Posts
844
Reaction score
476
Weekend iliyopita nikiwa natafakari ugumu wa maisha, iliingia message kwenye simu yangu kwa namba ambayo sikua nayo kwenye simu yangu. Nikasema ngoja nishare hii message na wanajamii wenzangu. Messessage inasema kama inavyoonieka hapo chini. Nimenukuu ilivyo

“Wakinge Uwapendao na SISIMU, Vunja Ukimya zungumza na CHADEMA, kuokoa taifa lako linaangamia kwa ufisadi, badili mfumo na kura yako. Eneza ujumbe huu. God bless TZ”
 
Bado haujakaa vizuri. nafikiri Tunahitaji kuufanyia kazi ukae vizuri zaidi. Japokua wametulazimisha kusajili laini tutatuma tu.
 
Ni haki ya kiraia hiyo kuwasiliana!...Hakuna tusi katika ujumbe huo, wala hakuna maisha yanayohatarishwa hapo!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…