Weekend iliyopita nikiwa natafakari ugumu wa maisha, iliingia message kwenye simu yangu kwa namba ambayo sikua nayo kwenye simu yangu. Nikasema ngoja nishare hii message na wanajamii wenzangu. Messessage inasema kama inavyoonieka hapo chini. Nimenukuu ilivyo
Wakinge Uwapendao na SISIMU, Vunja Ukimya zungumza na CHADEMA, kuokoa taifa lako linaangamia kwa ufisadi, badili mfumo na kura yako. Eneza ujumbe huu. God bless TZ
Wakinge Uwapendao na SISIMU, Vunja Ukimya zungumza na CHADEMA, kuokoa taifa lako linaangamia kwa ufisadi, badili mfumo na kura yako. Eneza ujumbe huu. God bless TZ