Huu ndio ujumbe wa siri ulionaswa ukisambazwa kwa baadhi ya wajumbe wa tume ya katiba: "Bila laki 5 hakuna ku-support hoja ya serikali mbili. Tuunge mkono hoja ya serikali tatu!"
Hayo ndiyo madhara ya rushwa. Inabidi serikali ya CCM iwahonge kiasi chochote wanachotaka, hata kama ni milioni 4 kila mmoja kwa siku ili watimiziwe malengo yao.
Huu ndio ujumbe wa siri ulionaswa ukisambazwa kwa baadhi ya wajumbe wa tume ya katiba: "Bila laki 5 hakuna ku-support hoja ya serikali mbili. Tuunge mkono hoja ya serikali tatu!"
Mimi ningekuwa Mbunge. ...Kama wenzangu Ndio wana Akili hizi ..ningejiondolea cheo cha uheshimiwa....na hata ikibidi kujiuzulu Ubunge...Watanzania maskini