Hon. Aikambe
JF-Expert Member
- Mar 14, 2013
- 443
- 70
Huu ndio ujumbe wa siri ulionaswa ukisambazwa kwa baadhi ya wajumbe wa tume ya katiba: "Bila laki 5 hakuna ku-support hoja ya serikali mbili. Tuunge mkono hoja ya serikali tatu!"
Hapa tumekwisha !!!!? CCM wasivyopenda
kushindwa watawapa tu.