Ujumbe wa wadada mitandaoni na picha haviendani

Tuzidi kumuomba Mungu awahurumie kabisa na kuwasamehe.
 
Wasipovaa chupi napo mnawaita makahaba which is which?
 
Bila picha na hizo caption tukaziona kwa macho tutaona kama unawasingizia tu
 
Wengi utawaona wakitoka saloon wakiwa wamepiga make up wanapiga picha na kuirushia mtandaoni juu utaona kameweka maneno mengi ujumbe wake hauendani na picha aliyotupia. lengo lake linakuaga kuonyesha picha. vikitongozwa inbox vinajifanya kuandika kulaumu wanaue kutongoza tongoza hovyo. Sasa umeweka bidhaa sokoni kwa nn watu wasiulize bei
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…