Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni sawa tu na kusema mimi wa wanyonge alafu sukari na mafuta taa bei juu
haha hahaNi sawa tu na kusema mimi wa wanyonge alafu sukari na mafuta taa bei juu
NikweliNi sawa tu na kusema mimi wa wanyonge alafu sukari na mafuta taa bei juu
Mawakala wa shetani hao wanaojifanya malaika wa nuru!Wadada wa mtandaoni yani unakuta binti kimevaa amevaa kichupi alafu anaandika ujumbe wa Mungu. Eti Isaya ngapi sijui.
Yani wanakera.
Sasa mbona unaongea utani wa ukweli mkuu?Ni sawa tu na kusema mimi wa wanyonge alafu sukari na mafuta taa bei juu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ni sawa tu na kusema mimi wa wanyonge alafu sukari na mafuta taa bei juu
Ni sawa tu na kusema mimi wa wanyonge alafu sukari na mafuta taa bei juu
Chief naona umewatetea kwa hisia sanaWasipovaa chupi napo mnawaita makahaba which is which?
Chief tatizo kila wanachofanya kinapondwaChief naona umewatetea kwa hisia sana
Ukiina hivyo ujue mengi wanayofanya sio sahihi mkuu...Chief tatizo kila wanachofanya kinapondwa