Monsignor
JF-Expert Member
- Jan 29, 2009
- 523
- 14
Halafu Mh. Zitto Na Mh. SLaa nao wangetusaidia bungeni kuuliza
JE Tanzania masuala ya usalama wa taifa yako nje ya katiba iliyotoa ABSOLUTE OVERSIGHT Kwa BUNGE kuisimamia Serikali???????
Thubutu si wataambiwa kuwa hayo masuala yanahusu usala ma taifa hayapasi kujadiliwa bungeni.