Powder
JF-Expert Member
- Jan 6, 2016
- 4,977
- 6,635
Toka Jana Jioni kumekua na Shida ya Internet Kwa maeneo ya Dar es salaam (Sijui mikoani) mpaka muda huu naandika tatizo ni lile lile!
Sijui changamoto hii itaisha saa ngapi, sijasoma Wala kusikia mahali mkieleza kwamba kutakua ama Kuna Tatizo la Mtandao.
Kwa sisi ambao Huwa tunajiunga na Vifurusho vya Internet vya siku, mnakua mnatudhurumu....! Matatizo yenu yakiisha tafadhari mturudishie MBS zetu ambazo zili expire bila Matumizi...!!
Nadhani huo utakua Uungwana mambo ya kupelekana TCRA ama Mahakamani sidhani kama huwa mnapenda.