pleo
JF-Expert Member
- Jun 20, 2013
- 3,444
- 2,737
Nahitaj KUKU wa kienyej koo 45 na dume 15 ili nianze Kufuga ,je Niko sahihi kuanza na kuku hawa ? Nitawapataje ?
nunua 50 koo kwa 10 jogoo kama wanasinda nje na 54 koo kwa 6 jogoo kama wanashinda ndani.