Ujumbe wangu kwenu mnao hate me kumsapoti Diamond humu ndani

Ujumbe wangu kwenu mnao hate me kumsapoti Diamond humu ndani

Kuna ugonjwa unaitwa obsessive compulsive behavior! unapenda kitu hadi unadhani huwezi ishi bila kitu hicho!unaweza pia kuwashangaa sana watu wanaotofautiana nawe kwa kudhani wamekosea na wewe ndo uko sahihi zaidi.Neno" haters"ndilo linanifanya nikuone hivyo unless hujui maana yake.Wahaya wanapenda sana senene hadi wanazitungia nyimbo kusifia,mimi is mhaya na sihitaji hao senene,lakini haimaanishi I hate senene!wamenikosea nini?Ila ukiniambia unakula mende na kuwasifu kwenye nyimbo nitaku hate wewe kwa sababu I hate Mende sana!ni wachafu na wanapenda uchafu!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
tehe tehe,nyimbo zake hazi pay nini???
hebu liulize lidada lako,demu lako au limama lako litakwambia y nyimbo zake wamesevu ringtone
NJEGERE WE...


lidada na limama langu ni milokole daaamu...
Lidemu langu ni limama lako, so kama vp we usikilize wimbo wake kwenye simu kisha ulete masaburi yako hapa ili nayo tupange bei niyanunue...ya mtu mzima nimeyachoka
 
OK!..

Nilikuwa sijui kama na JF anawatu,mi nilidhani huwa anawatuma kuvuruga tu show za wenzake na kushangilia za kwake!...

Mkuu unalipwaje kwa uzi?!..
 
I have been sayin all along this dude is g..
 
Mleta uzi kweli kama uko hapa JF kwaajili ya kusifia wanamuziki wenye mafanikio basi sifia na wengine basi kama kina Lady Jay Dee na wengine! Lakini cha kunishangaza hapa JF kwenye kila uzi wako wewe na Diamond! Diamond na wewe! Narudi tena swali langu la awali nililowahi kukuuliza! Diamond anakupa nini? Au wewe unampa nini Diamond?
 
ha ha ha,me hata cna tatizo na mtu,natizama tu mnavyotokwa povu
mnayobwabwaja hayanipunguzii wala kuniongezea chochote
 
Me nahis wew ndugu ndio umechanganyikiwa then nafikir kama ulipitia shule kidogo elimu yako haijakugombea, tatzo ni kumpenda domond tu? Domond sawa ni msanii mzur anaimba nyimb nzur but sio maana kuwa anamfurahisha kila mtu, then kila mahali lazma kuwe na ushindan ili maisha yaende, sasa wew unataka apendwe na watu wote yeye mungu? Acha kutokwa na povu lisilokuwa na sababu ya msingi na usiharb jukwaa letu mkuu
Hata Mungu kuna wanaompinga.
 
Back
Top Bottom