kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,634
- 7,015
mimi nilikua nakuona Sumu kumbe we kiazi tu
tehe tehe,nyimbo zake hazi pay nini???
hebu liulize lidada lako,demu lako au limama lako litakwambia y nyimbo zake wamesevu ringtone
NJEGERE WE...
Hivi nani mkali wa kuimba kati ya Diamond na Barnaba?
U never know heaven on desert litakuwa bwabwa lamshabikia mumeweHa ha ha mmh jameni eti gagulo!!!!!!!!
heaven on desert unatuchosha sasa!!!!
unamshadadia sana hadi unanipa mawazo huyu diamond anakupa nini wewe hadi ukae unasifia kila sekunde!!!
ha ha ha ha ha utawajua tu
umesema nataka kulewa mbovu na hauna mantik yoyote
mbona unapendwa sasa
ha ha ha,me hata cna tatizo na mtu,natizama tu mnavyotokwa povu
mnayobwabwaja hayanipunguzii wala kuniongezea chochote
ha ha ha,me hata cna tatizo na mtu,natizama tu mnavyotokwa povu
mnayobwabwaja hayanipunguzii wala kuniongezea chochote
Hata Mungu kuna wanaompinga.Me nahis wew ndugu ndio umechanganyikiwa then nafikir kama ulipitia shule kidogo elimu yako haijakugombea, tatzo ni kumpenda domond tu? Domond sawa ni msanii mzur anaimba nyimb nzur but sio maana kuwa anamfurahisha kila mtu, then kila mahali lazma kuwe na ushindan ili maisha yaende, sasa wew unataka apendwe na watu wote yeye mungu? Acha kutokwa na povu lisilokuwa na sababu ya msingi na usiharb jukwaa letu mkuu
ha ha ha,me hata cna tatizo na mtu,natizama tu mnavyotokwa povu
mnayobwabwaja hayanipunguzii wala kuniongezea chochote