Ujumbe Wangu wa Jumapili Kwenu

Ujumbe Wangu wa Jumapili Kwenu

Hivi adui wa mama yako aweza kuendelea kumfanya rafiki?

Acha kuongea kwa kufunga mawazo yako kabatini,speak globally not locally.
Umesoma vizuri? Au umeona kwenye ugomvi tu? Nimesema usiingilie ugomvi usiokuhusu wala kujua chanzo chake.
 
Mi nilikua Tabata na yeye yuko Mekuz
Basi alikufananisha, nilimtuma akushike wowowo, sasa km hukuwa ww ngoja tusubiri mrejesho wa kichapo alichopewa kwa kushika tako mtu asiyemjua..[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kuna watu wanapenda sana ugomvi ,yani hata akipita mtaani akikuta watu wanagombana lazima tu anunue huo ugomvi
 
Basi alikufananisha, nilimtuma akushike wowowo, sasa km hukuwa ww ngoja tusubiri mrejesho wa kichapo alichopewa kwa kushika tako mtu asiyemjua..[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Jana sikuvaa wowowo itakua alimshika mtu mwingine
 
Hapana mkuu, sema alitarajia atakutana na mvulana mwenye sura ya mamaake. Bahati mbaya akakutana na sura ya kiume, iliojaa uzito.......tehteehhh
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sura ya kiume ikizidi sana inatisha ujue. Hata mi ningetimua mbio
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sura ya kiume ikizidi sana inatisha ujue. Hata mi ningetimua mbio

Karibu tukule bibie....[emoji39] [emoji39]
images.jpg
 
Back
Top Bottom