Umesoma vizuri? Au umeona kwenye ugomvi tu? Nimesema usiingilie ugomvi usiokuhusu wala kujua chanzo chake.Hivi adui wa mama yako aweza kuendelea kumfanya rafiki?
Acha kuongea kwa kufunga mawazo yako kabatini,speak globally not locally.
Nimefurahi unavyowasema ndugu zangu wachaga[emoji23] [emoji39]Wacheka nini we mchaga?
Naomba utuweke namba moja hapoNawapenda. Wakurya kwanza halafu wachaga mnafuatia
WoiiiNamba moja hamuwezi kuwq
Kuna mmoja wa humu, alinikimbia then akakuja humu kuniandika na akataja hadi likaptula nililo livaa..... tehteehhhSikutangazi mtakukimbia tu
Sawa hamna tatizo.Sawa tuma kwangu hiyo hela ntamgeia Mama Sabrina
Shunie akee.. Njoo unilipizie huku, eti mziga kani'Mfyuuuu mimi. [emoji17] [emoji17]Mfyuuuu
Basi alikufananisha, nilimtuma akushike wowowo, sasa km hukuwa ww ngoja tusubiri mrejesho wa kichapo alichopewa kwa kushika tako mtu asiyemjua..[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mi nilikua Tabata na yeye yuko Mekuz
Hapana mkuu, sema alitarajia atakutana na mvulana mwenye sura ya mamaake. Bahati mbaya akakutana na sura ya kiume, iliojaa uzito.......tehteehhhUtakua ulimchefua sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sura ya kiume ikizidi sana inatisha ujue. Hata mi ningetimua mbioHapana mkuu, sema alitarajia atakutana na mvulana mwenye sura ya mamaake. Bahati mbaya akakutana na sura ya kiume, iliojaa uzito.......tehteehhh
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sura ya kiume ikizidi sana inatisha ujue. Hata mi ningetimua mbio