Wewe na mimi kasema weekend anatupeleka TIPS. Halafu mimi na Mama Sabrina anatutumia hela za bucket [emoji23][emoji23]
Mmmmh!
Ntakuwa nilikuwa nimelewa.
Khaaaaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hiyo sura ngumu uwe na mahela lakini sio una sura ngumu mahela haunaDuhhh......[emoji39] [emoji39] [emoji39]
Ebu fanya ukuje tuonane huku PM, maana nina sura inayoweza kukonga mtima wako... tehteehhh
Khaaaaaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mfyuuuuu zako unamwangaliaga vibaya shemeji yako ako na sura ngumu jamaniNdo nimesema unatudanganya
Unawekewaje maandishi Don na niliongeaUmeona jinsi navyowekewa maandishi...
Unawekewaje maandishi Don na niliongea
Utakosaje vyote jamani sura ngumu na mahela huna inabidi tu upambane na hali yakoNdiwooo. Mtu usikose vyote bwana.
Na mm ndio nilichokisoma cha bucket moja jamaniUnaona anavyosema eti wewe na yeye, halafu yeye na Mama Sab.
Mimi nimesema kila mmoja bucket moja.
Labda ulikua umelewa
Hebu kaweke story, unapenda sana hela weweUtakosaje vyote jamani sura ngumu na mahela huna inabidi tu upambane na hali yako
Na mm ndio nilichokisoma cha bucket moja jamani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Nacheka maana na wewe huna uhakika kama hujasema au umesemaUnaona anavyosema eti wewe na yeye, halafu yeye na Mama Sab.
Mimi nimesema kila mmoja bucket moja.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka dada mbona ndio nimetoka huko kuwekaHebu kaweke story, unapenda sana hela wewe
Eenh hiko ndio nilichokisoma DonAfadhali nina shahidi namba moja.