Mtafute jamaa wa kipindi cha AMKA na BADILIKA anaitwa Mtsimbe,TBC
Huyu atakuunganisha na experts wa kazi hiyo.
Maana kuna siku aliwaalika walikuwa wanachambua kwa kina sana na kwa utaalam wa hali ya juu.
Unajua wa Kenya wapo advanced miaka mingi sana kwenye kazi hii.Kuna jamaa alimualika wa Kenya kwenye kipindi chake Alichambua vizuri mno.Mie mwenyewe najipanga nikiwa sawa nimtafute aniunganishe.
Jaribu number hii ya Mtsimbe kama itakuwa sahihi: 0755 -285023.
Angalizo:-Wataalam wengi wa bongo kwenye hii issue ya Green house hawapo vizuri,wengie wao na sio wote wanaangali pesa tu,anaweza kukushauri kitu sehem sio sahihi na akiishapata pesa unabakia kujijuu mwenyewe.
tafuta mtu mzoefu na akupe references ya sehema amezowahi kufanya na kushauri ili ufuatilie.La sivyo utalia kwa hizo pesa zako ambazo sio chini ya 5m kama sikosei ili kulima kwa faida na tija.
Tafuta jamaa hapo juu atakupa vichwa vya ukweli