jackderick
Member
- Dec 31, 2012
- 29
- 9
habari zenu wadau.naomba tupeane ujuzi kwa wale wenye uzoefu.na uelewa kuhusu kilimo cha mbogamboga kwa kutumia Greenhouse.nini faida zake .pia changamoto zake..karibuni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtafute jamaa wa kipindi cha AMKA na BADILIKA anaitwa Mtsimbe,TBC
Huyu atakuunganisha na experts wa kazi hiyo.
Maana kuna siku aliwaalika walikuwa wanachambua kwa kina sana na kwa utaalam wa hali ya juu.
Unajua wa Kenya wapo advanced miaka mingi sana kwenye kazi hii.Kuna jamaa alimualika wa Kenya kwenye kipindi chake Alichambua vizuri mno.Mie mwenyewe najipanga nikiwa sawa nimtafute aniunganishe.
Jaribu number hii ya Mtsimbe kama itakuwa sahihi: 0755 -285023.
Angalizo:-Wataalam wengi wa bongo kwenye hii issue ya Green house hawapo vizuri,wengie wao na sio wote wanaangali pesa tu,anaweza kukushauri kitu sehem sio sahihi na akiishapata pesa unabakia kujijuu mwenyewe.
tafuta mtu mzoefu na akupe references ya sehema amezowahi kufanya na kushauri ili ufuatilie.La sivyo utalia kwa hizo pesa zako ambazo sio chini ya 5m kama sikosei ili kulima kwa faida na tija.
Tafuta jamaa hapo juu atakupa vichwa vya ukweli